Mh.Jumanne Rajabu Mtambalike amelenga kufanya mambo mengi kwa ajili ya jumuiya yetu ya tasaba ikiwemo.
1.UZINDUZI WA WEBSITE YA (TASABA).
Uzinduzi huu ukiwa umepangwa kufanyika siku ya uhuru wa Tanzania (DESEMBA 9).Tafadhali wananchi wa jumuiya mchagueni Mh.jumanne Rajabu ili aweze kulifanikisha hilo.Ikiwemo na kuanzisha Bonanza la siku ya uhuru kwa mara ya kwanza.
2.UZINDUZI WA GAZETI JIPYA LA (TASABA).
Gazeti la TASABA ambalo litasaidia jumuiya hii katika kukusanya ela pamoja na kusambaza habari mbalimbali kwa wanajumuiya ni mpango wa muda mrefu wa Mh.Jumanne Rajabu.Gazeti hili litasaidia kuinua kiwango cha uwandishi cha wanajumuiya na kuwasukuma watu mbalimbali katika kushirikiana na (TASABA.)
3.TASABA STUDENT INSURANCE POLICY.
Lengo lakuanzisha kitengo hiki ni kuwasidia watanzania ambao wanapatwa na matatizo mbalimbali yakiwemo ajali na kesi mbalimbali wakiwepo huku ughaibuni mbali na wazazi wao pamoja na watu wanaoweza kuwasaidia.
4.TASABA STUDENTS FORUMS
Hii itawasaidia wanafunzi kuwasiliana na wenzao ambao wamemaliza masomo yao ambao wapo maofisini kuwasidia kimawazo na kuwatengenezea mazingira mazuri katika soko la ajira.
5.TASABA CREATIVITY SEMINARS.
Hii itawasaidia wanafunzi kupata vyeyi katika semina mbalimbali zinazo andaliwa na jumuiya mbalimbali za elimu hapa India ili kuwasaidia katika kupata mwamko na kuelewa utendaji kazi wa kisasa na unaoendana na kalne tuliyopo.
6.TASABA CULTURE EVENTS
Hii itasaidia kuitangaza nchi yetu huku tulipo pamoja na sisi wenyewe kusherekea na kujumuika pamoja.TASABA CULTURE EVENTS itausisha events mbalimbali ambazo zitakua zikifanyika kwa mwaka kama:
A. TANZANIA INDEPENDENCY DAY FESTIVAL
B. TANZANIA SPORT BONANZA
C. FRESHERS PARTY
D. GRADUATION CEREMONY.
E. GET TOGETHER CEREMONIES
F. EVENT MBALIMBALI ZA WANAFUNZI
7.TASABA TRIPS AND TOURS.
Hii itakua ikisaidia kuwaunganisha watanzania wa bangalore na wasehemu nyingine kwa kuanda trip mbalimbali zikihusisha swala zima la kujuana,kufarahi na kusherekea mambo mbalimbali ya jamii yetu.
8.TASABA TRANSPARENCY BOARD
Hiki ni kitengo kitakachokua na mamlaka ya kuwauliza Tasaba juu ya utumiaji wao wa ela na namna wanavyoendesha mambo yao ilikuondoa ubabaishaji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment